Notifications
Clear all

Maana ya neno chongo

   RSS

0
Topic starter

Maana ya chongo


4 Answers
0

Maana ya chongo ni:

1. mtu ambaye jicho lake moja limeharibika na huona kwa jicho moja.

2. jicho moja lisiloona kabisa.


0

Mtu mwenye jicho moja


0

Mtu aliye na jicho moja.


0

Anayeona kwa jicho moja