Notifications
Clear all

Mama alisema ataenda sokoni. Andika katika usemi wa taarifa

   RSS

0
Topic starter

Mfano wa usemi wa taarifa


4 Answers
1

“ – t a – ” ya wakati ujao hubadilika na kuwa -nge-.

Kwa hivyo itakuwa: Mama alisema angeenda sokoni.


1

Mama alisema kuwa angeenda sokoni


0

Mama alisema kuwa ataenda sokoni.

Usemi wa taarifa hutumika katika kuripoti yale yaliyosemwa na mzungumzaji bila kunukuu maneno yake moja kwa moja.


@brennonnaki “ – t a – ” ya wakati ujao hubadilika na kuwa -nge-.


0

mama alisema angeenda sokoni