Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Ni makosa gani ya kawaida ya kuepuka wakati wa kujaribu kukatia dem?

   RSS

0
Topic starter

Kutongoza msichana

4 Answers
0

Hapa ni makosa ya kuepuka wakati wa kujaribu kupata mpenzi:

  • Kumtumia SMS/ Kumpigia simu tena na tena wakati anakupuuza.
  • Kutoa pongezi za uwongo kwake.
  • Kutumia pesa nyingi kwake.
  • Kumfanya kuwa kipaumbele chako cha kwanza.
  • Kusahau marafiki zako kwa sababu yake.
  • Kukubaliana na chochote anachosema, hata kama hukubaliani kabisa.
  • Kumtaka kimapenzi kabla ya muda kukomaa
0

kumtumia meseji msichana kupita saa 10:00 usiku

0

Usipoteze muda. Baada ya kuanzisha mawasiliano naye, usingoje kwa miezi kadhaa ili kumuuliza mkutane tena au vinginevyo mchukue uhusiano wenu kuwa level ingine. Unastahili kuanya hivyo ndani ya wiki moja.

0

Kubali uamuzi wake. Ikiwa umejaribu kila kitu kumvutia na bado hapendi kuchumbiana nawe, muache kwa uzuri. Wakati mwingine si kila mtu atakupenda. Ulijaribu kadri ya uwezo wako, na kuna wasichana wengine huko nje ambao watakuthamini kama ulivyo.