Hustle definition in English
Here are the meanings of the word hustle in English:
- To proceed or work rapidly or energetically.
- To push or force one’s way; jostle or shove.
- To obtain illicitly or by forceful action.
Hustle in Swahili
Hustle in Swahili is translated depending on the above definitions:
- Hustle (working energetically) is translated as: uchumiaji, pambana, kumbana, kabili, menyana , kujishughulisha, kujitahidi or pirikana.
- Hustle (push or force) is translated as: pambana, kupambana, kabili or menyana.
- Hustle (obtaining illicitly) is translated as: laghai, danganya, tapeli or fifiliza.
Examples of hustle in Swahili in sentences
- Linda alilaghai pesa kutoka kwa wanaume aliokutana nao. (Linda hustled money from men she met.)
- Alidanganya kujitoa kwa shida. (He hustled his way out.)
- Ninapenda harakati na kelele ya soko. (I love the hustle and bustle of the marketplace.)
- Jenny alikuwa amechoka na shughuli wa maisha ya jiji. (Jenny was exhausted by the hustle of city life.)
- Lazima ukabiliane zaidi ikiwa unataka kumaliza hiyo. (You have to hustle further if you want to finish it.)
- Tunatarajiwa kuchumia na kupambana kwa ajili ya tunachotaka. (We’re expected to hustle and fight for what we want.)
- Alisema alilazimika kuchumia ili kusaidia familia yake. (He said he had to hustle to support his family.)
- Utalazimika kumenyana ikiwa utataka kufika nyumbani kwa chakula cha jioni. (You’ll have to hustle if you’re to get home for supper.)
- Tunahitaji kujitahidi ikiwa tunataka kupata ndege hii. (We need to hustle if we’re going to make this flight.)
- Nilikuwa nimechoka na shughuli za mji. (I was tired of the hustle and bustle of the town.)
- Lakini alipata wakati pia wa kuopambana kwa niaba ya watoto wenye ulemavu. (But he found time as well to hustle on behalf of handicapped children.)
- Williams analeta roho na kujitahidi kwingi kwa timu. (Williams brings a lot of spirit and hustle to the team.)
- Timu ina vipaji vingi lakini haijitahidi. (The team has a lot of talent but no hustle.)
- Vitu vinaweza kuja kwa wale wanaosubiri, lakini ni vitu vilivyosalia na wale wanaopambana. (Things may come to those who wait, but only the things left by those who hustle.)