Kinyume cha neno haba

Posted by:

|

On:

|

Haba ni:

-siotosha.

Mfano: Mvua ilikuwa haba mwaka huu.

Visawe vya haba ni chache, kidogo.

Kinyume cha haba

Kinyume cha haba ni: tele au -ingi (kama vile; mingi, nyingi, n.k.)

Tele ni -liojaa kwa wingi.

Mfano: Kuna watu tele sokoni.