Kinyume cha neno kapera

Kapera ni mwanamume mseja mwanamume ambaye hajafunga ndoa.

Kinyume cha kapera

Kinyume cha kapera ni bikira au mwanamwali.

Mwanamwali ni msichana aliyekwisha vunja ungo ambaye hajaolewa bado, msichana ambaye bado ni bikira.

Bikira ni mwanamke ambaye hajaingiliwa na mwanamume na kizinda chake hakijavunjwa.

Related Posts