Kinyume cha neno karimu

Posted by:

|

On:

|

Karimu ni -siokuwa na choyo, -enye kupenda kusaidia, -enye ukarimu.

Kinyume cha karimu

Kinyume cha karimu ni choyo, bahili, banifu, nk..

Choyo ni tabia ya kuwa mgumu wa kutoa kitu kumpa mtu mwingine.

Bahili mtu asiyependa kutumia au kutoa vyake kwa wengine.