Kinyume cha neno tandika

Posted by:

|

On:

|

Tandika ni funika kitu kwa kitu kingine kwa mfano kitambaa juu ya meza au shuka juu ya kitanda.

Kinyume cha tandika

Kinyume cha tandika ni tandua.

Tandu ani kuondoa kitu kilichotanda au kunasa juu ya kitu kingine.

Mfano wa sentensi

Mtoto alitandua kitambaa cha kitanda.