Kinyume cha neno ndoa

Posted by:

|

On:

|

Ndoa ni maafikiano rasmi baina ya mwanamume na mwanamke ili waweze kuishi pamoja kama mke na mume.

Kisawe cha ndoa ni chuo.

Kinyume cha ndoa

Kinyume cha ndoa ni talaka.

Talaka ni hati ya maandishi inayotolewa na mume au mke kutangua ndoa, maandishi au tamko analotoa mume au mke wanapoachana.