Mistari ya kukatia manzi

Posted by:

|

On:

|

Kukatia manzi inaenza kuwa challenge for some people kama huna words za kuapproach. But don’t worry hata kama ni mara yako ya kwanza ya kukatia manzi ama a seasoned one below tumekupa mistari moto ya kukatia manzi.

Mistari ya kukatia manzi

  • Buda yako ni boxer? Coz unakaa a knockout.
  • Unaenza niazima busu? Ninapromise kugive it back.
  • Niaje! I guess unatafuta Mr. Right. Well, that’s me!
  • Jina lako ni Wi-Fi? Coz nimefeel a connection with you.
  • Uko na jina, ama nikuite tu ‘Malkia’?
  • Unafeel aje ukiwa mrembo hivo?
  • Ungekuwa mboga, ungekuwa a ‘cute-cumber.’
  • Jina lako ni Google? Coz uko na kila kitu natafuta.
  • Unaenza nifanyia a favor? Chukua number yangu.
  • Vipi, ninaenza chukua picha yako? Nataka kuonyesha beshte zangu kuwa angels really do exist.
  • Buda yako ni mwokaji? Coz you’re a cutie-pie.
  • Ninge rearrange the letters of the alphabet. Ningeweka U and I together.
  • Unachua nini kiko kwa menu? It’s Me ‘n’ U.
  • Ungekuwa a star, ungekuwa mwanga wa kuniongoza maishani mwangu.
  • Sidhani kama nakuchua but nimekuona kwa ndoto zangu.
  • Uko single. Niko single. Tunaenza change that together.
  • Ukiguess hoteli yangu favorite, nitakuchukua huko.
  • Siwezi ongoja hadi unichukue date. How long until you actually ask me out on one?
  • Wewe ni mrembo sana hadi umefanya nisahau my pickup line.​
  • Ungekuwa a triangle, you’d be acute one.
  • Uko na sweet nickname, ama nikuite tu “Babe”?
  • Uko na rubber? Cause nataka nifute your past na niandikie our future.
  • Kwani moyo wako ni benki? Cause nataka kusave in it forever.
  • Najua unanitaka. Matakwa yako mengine ni yapi?
  • Kuna kitu kimekosa kwa simu yangu. Haina nambari yako.
  • Kando na kuwa mrembo, unafanya kazi gani?
  • Natamani ningekuwa na macho ingine ili nikuone mara mbili.
  • Je, unaamini kwa love at first sight—au tuonane tena?
  • Mimi si mpiga picha, lakini ninaweza kupiga picha tukiwa pamoja.
  • Uko na moyo wa ziada. Kwa sababu wangu umeibwa.
  • Je, wewe ni charger? Kwa sababu ninaisha bila wewe.
  • Ninawezaje kupanga harusi yetu bila kuwa na nambari yako?

Mistari ndefu ya kukatia manzi

  • Watu wengine wanaogopa kifo, wengine maumivu but me ninaogopa kupoteza upendo wangu kwako.
  • Kati ya maua yote katika bustani, waridi ni nzuri zaidi na kati ya wanawake wote duniani, wewe ndio mrembo zaidi.
  • Tangu January, nilikuwa nakupenda, na through May nitaendelea kukupenda; ni miujiza vile miezi inaenda through, my dear, and I’ll still love you.
  • Kwa giza, ninafeel like I can’t live without you. Wewe ni kama jua kwa maisha yangu, cause without you I cannot live.
  • Kukuona is like a breath of fresh air that inspires me, nourishes me, fills me, relaxes me, encourages me, kills me… Please, nionee huruma.
  • Sijui kama uko na mpenzi, but nataka ujue kuwa God created you for me as the most beautiful person in the world.
  • Ninasikia sauti yako everwhere I go, ninakuona in everything I do, but even if you can’t be mine, I will always carry you in my heart.
  • Kama Adam alikula an apple for Eve, mimi ninaenza kula an entire fruit store just for you.
  • Nilijua nakulove wakati nirealize kuwa hakuna nyimbo bora than your voice and no book is better than your message.
  • Ninakupenda so much, that I will never forget you. Ninakupenda all my life. And ninakupromise kukumake the most beautiful woman in the world for the rest of my life.