Funny Sheng Quotes

Posted by:

|

On:

|

Hapa down tumekupa our selection of funny sheng quotes za kujiburudisha. For more funny quotes za kuchekesha check here.

Funny Sheng Quotes

  • “Buda, nimechoka kufuata ndoto zangu, nitaka kuziuliza zinaenda wapi harafu tukutane baadaye.”
  • “Masa alikuwa akiniambia: The older you get, the better you get, unless wewe ni ndizi.”
  • “Before uoe, make sure umepatia huyo partner atumie computer iko connected with a slow Internet speed uone character yake halisi.”
  • “Kuoa ni raha. Coz unaget someone wa kuannoy for the rest of your life.”
  • “Unajua umekuwa mzee unapoonywa kupunguza mwendo na daktari, badala ya polisi.”
  • “Usifuate njia ya mtu yeyetote, unless uko msituni na umepotea na uone njia. Basi kwa vyovyote vile fuata njia hiyo.”
  • “Common sense ni kama perfume. Watu wanaoihitaji zaidi hawatumii kamwe.”
  • “Ikiwa sijarudi in five minutes, nisubiri zaidi.”
  • “Kitu pekee kinatuseparate na wanyama ni uwezo wetu wa kuvaa nguo.”
  • “Sheria muhimu ya kuremember in life ni ikikuja kwaplastic surgery, usiwahi bargain.”
  • “Vile unakaa mzee, vitu tatu huhappen. The first ni; memory yako inapotea, na siwezi kukumbuka hivyo vingine.”
  • “Unajua unazeeka unapoinama ili kufunga kamba za viatu vyako na kujiuliza ni nini kingine unaweza kufanya ukiwa hapo chini.”
  • “Jikubali mwenyewe. Unless kama wewe ni muaji.”
  • “Ninawaonea wivu wazazi wangu, sitawahi kuwa na mtoto mzuri kama wao.”
  • “Maisha ni kama bakuli la supu na mimi ni uma.”
  • “Hatuwezi wote kuwa wafalme. Mtu lazima anipungie mkono ninapopita.”
  • “Niliacha kuelewa hesabu wakati niliambiwa nitafute X, na sijawahi ipata.”
  • “Tabasamu kama tumbili aliye na ndizi mkononi.”
  • “Unaweza kunielekeza chooni? Nina miadi ya kinyesi.”
  • “Wanasema hakuna mtu perfect in the world. Kwa hivyo mimi si mtu?”
  • “Sikuanguka – sakafu ilihitaji kupewa hug.”
  • “Kila mtu ako na freedom ya kuwa mjinga, lakini wengine hutumia vibaya freedom hiyo.”
  • “Mwanaume successful ni mwanaume mwenye ana earn more than his wife can spend. Mwanamke successful ni mwanamke mwenye anajua pahali pa kutafuta ndume kama huyo.”
  • “Nilikuwa nadhani sifikiriangi. Lakini sasa sina uhakika sana.”
  • “Next time ukinunua donut, lalamika kwa nini ikon a shimo.”
  • “Nimekuwa na bahati mbaya na wake zangu wote wawili. Wa kwanza aliniacha, lakini wa pili hakuniacha.”
  • “Usijali ikiwa plan A haijago through. Kuna herufi 25 zaidi katika alfabeti!”
  • “Kumbuka kila wakati kuwa wewe ni wa kipekee … kama kila mtu mwingine.”
  • “Chochote kinachokukula lazima kiwe na njaa kweli kweli.”
  • “Miti michanga huenda wapi kujifunza? Shule ya Elementree. “
  • “Ukuta mmoja ulisema nini kwa mwingine? Nitakukuta kwa kona.”
  • “Uchafu ulisema nini kwa mvua? Ukiendelea hivi, jina langu litakuwa matope!”
  • “Ikiwa huwezi kuishi bila mimi, basi kwa nini bado haujadedi?”
  • “Ukiwa na sura kama hiyo, una nafasi nzuri katika kesi dhidi ya wazazi wako.”