Sheng pick up lines

Posted by:

|

On:

|

Kwa haya makala tumekupa top sheng pick up lines za kukatia huyo dem.

Hata kama unatafuta pick up lines za kujaribu uone reaction yake or kama uko serious kumuingiza box, hizi pick up lines ni sure bet, hutabahatisha. For more on mistari kali ya kukatia dem aingie box, check here.

Sheng pick up lines

 • Excuse me, ni saa gapi? Nataka kukumbuka the exact minute yenye nimekucrushia.
 • Wewe ni sumaku? Coz for sure you’re attracting me over to you.
 • Ungekuwa mboga, ungekuwa a cute-cumber.
 • Unabelieve in love at first sight ama nijaribu tena?
 • Unakunywa Pepsi? Coz you’re so-da-licious!
 • Ungekuwa nyimbo, ungekuwa my favorite song kwa my playlist.
 • Nilikuwa niseme kitu tamu kukuhusu. Lakini nilipokuona, nilikosa la kusema.
 • Ungekuwa tunda, ungekuwa a fine-apple.
 • Uko na jina ama tu nikuite mine?
 • Uko sure bado hujachoka? Coz umekuwa kwa akili yangu through all the day.
 • Macho yako yanag’aa sana, hata jua linaweza kuwa na wivu.
 • Mambo, mbinguni ilikuwaje wakati ulitoka uko? Coz you’re like a fallen angel.
 • Vipi mrembo, you take my breath away!
 • Sisi si soksi, but niko sure we’d pair well.
 • Unaenza unlock my phone na number ya simu yako?
 • ‘U’ and ‘I’ are my favorite alphabets.
 • Simu yangu imehang. Unaenza icall nione kama itakuwa?
 • Wewe ni electrician? Coz unaleta mwangaza kwa maisha yangu.
 • Umewahi kusikia kuwa busu ni love languange. Unataka kujaribu then you find out kuwa ni ukweli?
 • Tufanye uhalifu kamili; uibe moyo wangu na mimi niibe wako.
 • Huku ndani ni kuhot, au ni wewe?
 • Mimi si cameraman, but I can picture me and you together.
 • Haja kwanza nipate hewa safi? Coz nilipokuona you took my breath away!
 • Je, uliumia ulipoanguka kutoka mbinguni?
 • Uko na map? I keep getting lost in your eyes.
 • Ni kama niko kwa a museum, coz, girl, you’re a work of art.
 • Ulifanyia nini macho yangu? Coz siwezi kuacha kukutazama.
 • Wewe ni loan? Coz tayari nimekupa my interest.
 • Hilo ni jua limeangaza, ama ni wewe umesmile?
 • Ungekuwa maandishi kwa page ungekuwa a fine print.

Funny sheng pick up lines

 • Ni kama mikono yako umekuchosha. Ninaweza kukusaidia kubeba?
 • Wewe ni Google? Coz uko na kila kitu chenye ninatafuta.
 • Nilikuwa nadhani furaha ilikuwa inaanza na ‘F,’ but nimegundua inaanza na ‘u.’
 • Kama utaendelea kuniangalia hivyo, sitakuwa na any other choice but to ask you on a date.
 • I love flirting with you, but I’d have even more fun dating you.
 • Uko single. Niko single. Tunaenza change that together.
 • Ukiguess hoteli yangu favorite, nitakuchukua huko.
 • Siwezi ongoja hadi unichukue date. How long until you actually ask me out on one?
 • Wewe ni mrembo sana hadi umefanya nisahau my pickup linea.​
 • Ungekuwa a triangle, you’d be acute one.
 • Uko na sweet nickname, ama nikuite tu “Babe”?
 • Uko na rubber? Cause nataka nifute your past na niandikie our future.
 • Kwani moyo wako ni benki? Cause nataka kusave in it forever.
 • Unaenza kunikopa busu lako? Ninapromise kugive it back.