Tag: maana ya maneno ya Kiswahili
Maana ya neno alasiri na English translation
Maana ya neno alasiri Matamshi: /alasiri/ Alasiri 1 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: wakati…
Maana ya neno alasauti na English translation
Maana ya neno alasauti Matamshi: /alasauti/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: istilahi katika taaluma…
Maana ya neno alamu na English translation
Maana ya neno alamu Matamshi: /alamu/ Alamu 1 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: ishara…
Maana ya neno alamsiki! na English translation
Maana ya neno alamsiki! Matamshi: /alamsiki/ (Kihisishi) Maana: salamu njema anazotoa mtu anapoagana na mwingine…
Maana ya neno alamisha na English translation
Maana ya neno alamisha Matamshi: /alamisha/ (Kitenzi elekezi) Maana: tia alama inayoonyesha kitu. Mnyambuliko wake…
Maana ya neno alamina na English translation
Maana ya neno alamina Matamshi: /alamina/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: viumbe wote duniani.…
Maana ya neno alamatobo na English translation
Maana ya neno alamatobo Matamshi: /alamatɔbɔ/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: alama maalumu zinazotumiwa…
Maana ya neno alama na English translation
Maana ya neno alama Matamshi: /alama/ Alama1 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: doa linalochafua…
Maana ya neno alakulihali na English translation
Maana ya neno alakulihali Matamshi: /alakulihali/ (Kielezi) Maana: kwa vyovyote. Alakulihali Katika Kiingereza (English translation)…
Maana ya neno alaka na English translation
Maana ya neno alaka Matamshi: /alaka/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: ufahamiano kati ya…