Brennon Nakisha
Wingi wa kitabu ni vitabu.
Read More…
Wingi wa kabati ni makabati.
Wingi wa rinda ni marinda.
Wingi wa sahani ni sahani.
Wingi wa chupa ni chupa.
Wingi wa shule ni shule.
Wingi wa uteo ni teo.
Wingi wa ubao ni mbao.
Wingi wa seremala ni maseremala.
Wingi wa darasa ni madarasa.