Category: Maana ya maneno

  • Maana ya neno abunusi na English translation

    Maana ya neno abunusi (Abunusi ni nomino katika ngeli ya [i-/zi-] ), mti ulio na kiini cheusi kikubwa na kigumu kinachotumika kuchongea vinyago au kutengeneza samani. Kisawe chake ni mpingo. Abunusi Katika Kiingereza (English translation) Abunusi katika Kiingereza ni: Ebony tree. Read more

  • Maana ya neno abudu na English translation

    Maana ya neno abudu 1. (Kitenzi <ele>) omba Mungu kufuatana na imani fulani. Mnyambuliko wake ni: abudia, abudisha, abudiwa. 2. (Kitenzi <ele>) penda kitu au mtu sana. Kisawe ni husudu. Mnyambuliko wake ni: abudia, abudiana, abudisha, abudiwa. 3. (Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), mtoto wa bandia. Kisawe ni: mwanasesere. Abudu Katika Kiingereza (English Translation) Abudu… Read more

  • Maana ya neno abu na English translation

    Maana ya neno abu (Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), mzazi wa kiume. Kisawe ni baba. Abu Katika Kiingereza (English Translation) Abu katika Kiingereza ni: Father, dad. Read more

  • Maana ya neno abtali na English translation

    Maana ya neno abtali (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]) wapiganaji. Visawe vyake ni: mashujaa wa vitani, nguli. Abtali Katika Kiingereza (English Translation) Abtali katika Kiingereza ni: Warriors, heroes. Read more

  • Maana ya neno abtad.i na English translation

    Maana ya neno abtad.i Abtad.i pia ni abutadi. (Kitenzi <ele>) alika kitu au shughuli. Mfano: Ninaabtadi safari yangu kwa kumwomba Mola. Bismillahi n’abtadi ninaanza kwa jina la Mwenyezi Mungu. Abtad.i Katika Kiingereza (English Translation) Abtad.i katika Kiingereza ni: Begin, start. Read more

  • Maana ya neno abra na English translation

    Maana ya neno abra (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]) fursa ya kufanya jambo. Visawe vyake ni: nafasi, muda. Abra Katika Kiingereza (English Translation) Abra katika Kiingereza ni: Opportunity. Read more

  • Maana ya neno abjadi na English translation

    Maana ya neno abjadi (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), orodha ya herufi za lugha fulani. Visawe vyake ni: alfabeti, abtathi. Mfano: Abjadi za Kiswahili. Abjadi Katika Kiingereza (English translation) Abjadi katika Kiingereza ni: Alphabet. Read more

  • Maana ya neno abiria na English translation

    Maana ya neno abiria (Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), mtu anayetoka mahali fulani na kwenda pengine kwa kutumia chombo k.m. basi, treni n.k. na ambaye si mfanyakazi wa chombo hicho. Abiria Katika Kiingereza (English translation) Abiria katika Kiingereza ni: Passenger. Read more

  • Maana ya jina abir.i na English translation

    Maana ya jina abir.i Abir.i 1. (Kitenzi <sie>) safiri kwa chombo cha majini kutoka upande mmoja wa mto, ziwa au bahari hadi upande mwingine. Kisawe ni vuka. Mfano: Tuliabiri bahari kwa meli. 2. ingia chombo cha kusafiri k.m. basi, meli, mashua n.k. Mnyambuliko ni: abiria, abirika, abirisha. Abir.i 1. (Kitenzi <ele>) toa maelezo ya kitu… Read more

  • Maana ya jina abidi na English translation

    Maana ya jina abidi (Nomino katika ngeli ya [a-/wa]) (ush)mlimwengu, mja wa Mwenyezi Mungu. Kisawe ni abdi. Abidi Katika Kiingereza (English translation) Abidi katika Kiingereza ni: Worshipper, servant of God. Read more