Category: Kamusi
Maana ya neno akia na English translation
Maana ya neno akia Matamshi: /akia/ (Kitenzi Kielezi) Maana: bugia chakula na kukimeza bila ya…
Maana ya neno akhiyari na English translation
Maana ya neno akhiyari Matamshi: /axijari / Akhiyari 1 (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana:…
Maana ya neno akhi na English translation
Maana ya neno akhi Matamshi: /axi/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu, jamaa au…
Maana ya neno akhera na English translation
Maana ya neno akhera Matamshi: /axera/ (Nomino katika ngeli ya [i-)] Maana: pia, ahera,kule ambako…
Maana ya neno akhasi na English translation
Maana ya neno akhasi Matamshi: /axasi/ (Kivmishi) Maana: pia ahasi, -liye mbaya kuliko. Mfano: Yeye…
Maana ya neno -ake na English translation
Maana ya neno -ake Matamshi: /akɛ/ (Kivumishi) Maana: mzizi wa kivumishi kimilikishi cha nafsi ya…
Maana ya neno akaunti na English translation
Maana ya neno akaunti Matamshi: /akaunti/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: 1. hesabu ya…
Maana ya neno akari na English translation
Maana ya neno akari Matamshi: /akari/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi) Maana: kitu kinachomlewesha mtu.…
Maana ya neno akania na English translation
Maana ya neno akania Matamshi: /akania/ Akania 1 (Kielezi elekezi) Maana: elekeza farasi kwa hatamu.…
Maana ya neno akali na English translation
Maana ya neno akali Matamshi: /akali/ Akali 1 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: ukosefu…