Category: Kamusi
Maana ya neno -adilifu na English translation
Maana ya neno -adilifu Matamshi: /adilifu/ (Kivumishi) Maana: sifa ya utendaji wema na haki bila…
Maana ya neno adili na English translation
Maana ya neno adili Matamshi: /adili/ Maana: 1. (Kitenzi si elekezi) fanya uadilifu au timiza…
Maana ya neno adidi na English translation
Maana ya neno adidi Matamshi: /adidi/ (Kitenzi si elekezi) Maana: 1. andaa au tayarisha kitu…
Maana ya neno adibu na English translation
Maana ya neno adibu Maana ya neno adibu Matamshi: /adibu/ Maana: 1. (Kitenzi elekezi) fundisha,…
Maana ya neno adia na English translation
Maana ya neno adia Matamshi: /adia/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: tuzo ya fedha…
Maana ya neno adi na English translation
Maana ya neno adi 1. (Kitenzi si elekezi) sindikiza mtu kabla ya kumuaga. Mnyambuliko wake…
Maana ya adhirika na English translation
Maana ya adhirika Matamshi: /aðirika/ (Kitenzi si elekezi) Maana: fikwa na tukio la kuaibisha. Visawe…
Maana ya neno adhiri na English translation
Maana ya neno adhiri Matamshi: /aðiri/ (Kitenzi si elekezi) Maana: pia aziri tia mtu aibu…
Maana ya neno adhinia na English translation
Maana ya neno adhinia Matamshi: /aðinia/ (Kitenzi si elekezi) Maana: fanyia adhana mtoto wa Kiisalamu…
Maana ya neno adhini na English translation
Maana ya neno adhini Matamshi: /aðini/ (Kitenzi si elekezi) Maana : 1. ita au tangazia…