Maana ya neno adhiri na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno adhiri

 Matamshi: /aðiri/

(Kitenzi si elekezi)

Maana: pia aziri tia mtu aibu hadharani au mbele ya watu.

Mnyambuliko wake ni: →adhiria, adhiriana, adhirika, adhirisha, adhiriwa.

Adhiri Katika Kiingereza (English translation)

Adhiri katika Kiingereza ni: criticize, defame, embarass, or degrade.