Brennon Nakisha
Wingi wa kioo ni vioo.
Read More…
Wingi wa ndege ni ndege.
Wingi wa dereva ni madereva.
Wingi wa huu ni: hii, hizi, haya
Wingi wa kasisi ni makasisi
Wingi wa dirisha ni madirisha.
Wingi wa upanga ni panga.
Wingi wa yake ni: zake, zao.
Wingi wa uso ni nyuso.
Wingi wa soko ni masoko.