Brennon Nakisha
Wingi wa kobe ni kobe.
Read More…
Wingi wa limau ni malimau.
Wingi wa lake ni yake au yao.
Wingi wa mpira ni mipira.
Wingi wa meza ni meza.
Wingi wa kiti ni viti.
Wingi wa lori ni malori.
Wingi wa chaki ni chaki.
Wingi wa uta ni nyuta.
Wingi wa ufagio ni fagio.