Category: Swahili quotes
Sehemu hii inahusu dondoo katika lugha ya Kiswahili
SMS za kulalamika kwa mpenzi wako
Kila aina ya mahusiano una shida zake. Wakati mwingine katika uhusiano unaweza kuhisi kuwa umesalitiwa ama mpenzi wako hajakufanyia haki. Ndio maana hapa chini tumekupa sms za kulalamika kwa mpenzi wako, umwamie vile unahisi. Read more
Maneno ya busara kwa rafiki
Hapa chini tumekupa maneno ya busara ya kumtumia rafiki yako kama SMS ama ya kumwambia. Read more
Jinsi rahisi sana ya kupika keki na jiko
Unaweza kupika keki katika jiko lako. Ni rahisi sana, kile unachotakiwa kufanya ni kuchanganya unga wa ngano unaoupenda na vanila na chokoleti. Kisha washa makaa kwenye jiko lako na weka sufuria juu ya makaa ili sufuria ipate moto kidogo. Read more
Misemo na SMS za kuchekesha
Hizi hapa ni sms za vichekesho na misemo ya kuchekesha yenye unaenza mtumia rafiki yako au mpenzi wako. Read more
SMS nzuri za mapenzi za kutongoza
Hapa chini tumekupa SMS za kutongoza ambazo unaenza mtumia huyo msichana na umfanye akuwe mpenzi wako Read more
SMS za Kubembeleza na Kuomba Msamaha kwa Mpenzi
Hapa chini tumekusaidia na orodha ya sms za kubembeleza za kuomba msamaha na za kuomba nafasi ingine kwa mapenzi. Read more
SMS kali za mahaba motomoto
Tumekuchagulia sms za mahaba makali na maneno matamu ya upendo, ili uweze kumtumia mpenzi wako kwenye mitandao ya kijamii ama jumbe fupi. Read more
20 Maishairi ya Mapenzi
Hapa chini tumeunda uteuzi tofauti wa mashairi mazuri ya mapenzi yanayogusa moyo na ambayo yanafaa kwa nyakati ambazo huna maneno ya kueleza mpenzi wako. Read more
SMS za huzuni kwa upendo ulioupoteza
Gundua mkusanyiko wa SMS za huzuni na kusikitisha kutoka moyoni ambazo zinanasa kwa uzuri undani wa hisia. Jumbe hizi hutoa njia ya maana ya kueleza huzuni kwa mapenzi. Read more