Hadithi ya simba na…
 
Notifications
Clear all

Hadithi ya simba na sungura – sehemu ya 2


Posts: 16
 oino
Topic starter
(@oino)
Eminent Member
Joined: 5 months ago

Kuna siku Sungura na Simba walibishana kujua nani ana nguvu. Sungura akasema “Mimi nina nguvu.” Simba Akajibu “Mimi Ndiyo mwenye nguvu.” Sungura akashauri…
“Twende msituni, chukua kamba na tuanze kuvutana kuona nani mwenye nguvu.”

Walianza kuvutana kwa kutumia kamba. Simba Alitumia nguvu zake zote mwisho wa siku akachemsha. Kwanini? Sungura mdogo anishinde? Simba akakasirika akenda kuita wenzake, wakaja wakachemsha. Kivipi? Hapa kuna namna. Wale Simba wakaamua kuifuatilia ile kamba, wakagundua Sungura alifunga ile kamba kwenye mti mkubwa.

Topic Tags