Mhariri Forum

Killy and Harmonize…
 
Notifications
Clear all

Killy and Harmonize- Ni Wewe Lyrics


(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 3 months ago
Posts: 31
Topic starter  

Turururu ruru rurururuuu mmmnh…! mnh…!

Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende

Maana nahisi nimezaliwa nije nikupende

Aah…! Jangwani pakavu umeota mtendee

Eeh…! Waubani waubavu sema wapi twendeee

Jua mapenzi ni siri iiiih yani toka enzi zile za mababu

Usije ukaghairi babee mazoea yakanipa tabuu uuuh

Aaaaah chuchuchu basi nipe hata kiduchu

Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu

Eeeeeh chuchuchu basi nipe hata kiduchu

Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchuuuuh uuuh uh

Oooh baby you make me sing this song

Ni wewe ni we (ni weeeh)

Ni wewe (I don’t wanna do you wrong)

Ni wewe (ooh baby ni wee)

Njagala kuvaa nawee

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)

Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni

Usishangae mtu kuacha minofu na akala vya vichochoroni

Aaaaah Halima kwa ajili yako ninajinyima

Penzi nishakatia na bima

Moyo wangu kata we ndo kisima mmmh baby baby

Nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana hata tabu kuinama

Na unapolishika hilo rungu mwenzako vinywele vinanisimama

Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu

Mkunaji kapewa ukurutu

Yani kama chuma kinaliwa na kutu

Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu

Mkunaji kapewa ukurutu

Yani kama chuma kinaliwa na kutu

I swear baby you make me sing this song

Ni wewe ni we (ni weeeh)

Ni wewe (I don’t wanna do you wrong)

Ni wewe (ooh baby ni wee)

Njagala kuvaa nawee

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)


   
Quote
(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 3 months ago
Posts: 31

   
ReplyQuote