Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Maana ya neno amiri


(@brennonnaki)
Joined: 6 months ago
Posts: 180
Topic starter  

Amiri 1

Maana:

1. kiongozi kamanda mwenye mamlaka makubwa hasa jeshini. Kisawe chake ni jemadari.

2. mtu mwenye hatamu za mamlaka au amri.

Amiri 2

Anza. Fanya kitu kwa mara ya kwanza.

https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-amiri-na-english-translation/


   
Quote