Maana ya neno amiri na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amiri

Matamshi: /amiri/

Wingi wa amiri ni maamiri.

Amiri 1

(Nomino katika ngeli ya [a-wa])

Maana:

1. kiongozi kamanda mwenye mamlaka makubwa hasa jeshini. Kisawe chake ni jemadari.

2. mtu mwenye hatamu za mamlaka au amri.

Amiri 2

(Kitenzi elekezi) Anza. Fanya kitu kwa mara ya kwanza.

Amiri Katika Kiingereza (English translation)

Amiri katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Amiri (kiongozi kamanda mwenye mamlaka makubwa hasa jeshini) ni: commander.
  • Amiri (mtu mwenye hatamu za mamlaka au amri) ni: leader or ruler.
  • Amiri (Fanya kitu kwa mara ya kwanza) ni: to start or begin.