Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Maana ya neno amrawi


(@brennonnaki)
Joined: 7 months ago
Posts: 180
Topic starter  

kamba inayofungwa kwenye pembe moja ya foromali na hutumika pamoja na baraji kusawazisha msukumo wa upepo na mwendo au mwelekeo au jahazi baharini.

https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-amrawi-na-english-translation/


   
Quote