Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Umewahi kusafiri na familia yako hivi majuzi?

   RSS

0
Topic starter

Have you traveled with your family recently?

@aislingbeatha Mimi na familia yangu tuliweza kusafiri kwenda mji wa Mombasa mwezi wa Aprili ambapo tulikutana na changamoto mingi barabarani kwani mvua ilinyesha kupindukia. Gari ambalo tuli abiri iligong’ana na lori la mafuta. Ni bahati tu hakuna mtu aliye umia. Bali na hiyo nashukuru mungu kwani tulifika salama na tukaweza kufurahia mji wa Mombasa na manthari yake.

2 Answers
0

La hasha. Sijatembea nao hivi majuzi kwani wamo kazini na uchumi hairuhusu kwenda matembezi. Kuna mambo yaliyo mbele ya kutembea kama vile:kufanya biashara inawiri kwanza.

0

Mimi na familia yangu tuliweza kusafiri kwenda mji wa Mombasa mwezi wa Aprili ambapo tulikutana na changamoto mingi barabarani kwani mvua ilinyesha kupindukia. Gari ambalo tuli abiri iligong’ana na lori la mafuta. Ni bahati tu hakuna mtu aliye umia. Bali na hiyo nashukuru mungu kwani tulifika salama na tukaweza kufurahia mji wa Mombasa na manthari yake.