Notifications
Clear all

cheichei ni salamu ya wakati gani?

   RSS

0
Topic starter

cheichei ni nini, jibu na wakati wake


4 Answers
0

cheichei ni neno linalotumiwa na watoto wanapomwamkia mtu. Ni salamu ya wakati wowote.


0

Cheichei ni salamu za watoto, hutumika wakati wowote


0

salamu ya watoto wakati wowote


0

Cheichei ni salamu watumiayo watoto wakati wowote