Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Methali ni nini?

   RSS

0
Topic starter

Maana ya methali

4 Answers
0

methali ni usemi unaoaminiwa kuwa na ukweli ambao huwa na maana iliyofumbwa isiyoelezeka kwa maneno yaliyotumika katika usemi huo kwa mfano “Asiyesikia la mkuu huvunjika guu” au “Mtaka cha mvunguni sharti ainame”

0

Methali ni msemo mfupi, unaosema ukweli na unatoa ushauri.

0

Methali ni kifungu kifupi cha maneno chenye maana nzito au yenye hekima. Methali hutumiwa kupamba lugha, kutoa mafundisho, na kuelezea mambo kwa njia ya mfano.

0

Methalinni ni usemi mfupi wa mapokeo wenye mpangilio maalumu wa maneno unaodokeza kwa muhtasari fikra au mafunzo mazito yatokanayo na uzoefu wa maisha ya jamii husika.