Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Taja mifano ya ngeli ya i-i

   RSS

0
Topic starter

mifano ya ngeli ya i-i

4 Answers
0

Mifano ya ngeli ya i-i

  • sukari
  • amani
  • chai
  • mvua
  • Imani
  • chumvi
  • subira
  • imani
  • amani
  • furaha
0

Ngeli ya I-I
Huwa na nomino dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika. 

Mfano:

  • mihadarati-mihadarati
  • miwani-miwani
  • sukari -sukari
0

Vitu visivyohesabika (Uncountable nouns): hewa (air), maji (water), mchanga (sand), chumvi (salt), unga (flour), sukari (sugar)

0

Ngeli ya I-I
Huwa na nomino dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika.

Mfano:

  • mihadarati-mihadarati
  • miwani-miwani
  • sukari -sukari
  • Chumvi «i»liyoletwa ni yake.
  • Chumvi «i»liyoletwa ni yao.