Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Taja mifano ya ngeli ya u-ya

   RSS

0
Topic starter

mifano ya ngeli ya u-ya

4 Answers
0

Mifano ya ngeli ya u-ya ni: Unyoya,uyoga,upishi,uwele,

0

Mifano ya nomino ya U-YA ni:

  • Upishi
  • Ugonjwa
  • Uwele
  • Unyoya
0

Hii hapa ni mifano ya ngeli ya U-YA:

Ugonjwa, uwele, unyoya, upishi, ubua

0

Mifano ni kama: Ulezi, unyoya, uele, upishi, ulezi,ugonjwa