Notifications
Clear all
0
12/06/2024 11:38 am
Topic starter
mifano ya nomino dhahania
4 Answers
0
14/06/2024 1:21 am
0
14/06/2024 2:45 am
Hapa ni mifano ya nomino dhahania:
- Busara
- Ujinga
- Ubaya
- Uchoyo
- Wazimu
- Ukeketaji
- Uzumbukuku
- Ucheshi
- Upuzi
- Wivu
- Chuki
0
14/06/2024 4:54 am
Mifano ingine ya nomino dhahania ni:
Hasira
Utu
Uvivu
Uzuri
Ukarimu
Ujanja
Tabasamu
Ujeuri
Ulevi
Wizi
Upumbavu
Ukali
Utanashati
0
14/06/2024 5:59 am
- Uovu
- Ushenzi
- Hasira
- Unyenyekevu
- Kimya
- Uchungu
- Ugomvi
- Ukiritimba
- Uchovu
- Usherati
- Uwezo