Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Toa mifano ya viunganishi vihusishi

   RSS

0
Topic starter

viunganishi vihusishi

4 Answers
0

Kabla ya
Baada ya

0

Mifano ya viunganishi vihusishi ni kama: Baina ya, ufuoni pa, katikati ya, nyuma ya , miongoni mwa, karibu na, n.k

0

miongoni mwa
kati ya
baadhi ya

0

Viunganishi vihusishi ni aina ya viunganishi ambavyo vinaunganisha vipashio vyenye hadhi tofauti kisarufi.

Mfano yake ni pamoja na, pasipo, kwenye, na, n.k