Notifications
Clear all

Uncle in Swahili ni?

   RSS

0
Topic starter

Uncle in Swahili


5 Answers
0

Uncle in Swahili ni mjomba


0

Mother’s brother in Swahili ni mjomba; Father’s brother in Swahili ni amu.


0

Kaka ya mama ni mjomba, kaka ya baba ni amu.


0

uncle kwa kiswahili ni mjomba au amu


0

mjomba upande wa mama na amu upande wa baba