Notifications
Clear all

Vitate ni nini? Toa mifano ya vitate.

Page 2 / 2
   RSS

0
Topic starter

Vitate vya Kiswahili

15 Answers
0

Vitate ni maneno mawili au zaidi yanayofanana kwa sauti lakini hayana maana sawa. Hii hapa ni mifano ya vitate.

  • Saa na zaa
  • Soga na soka
  • Sima na zima
  • Kibubu na kipupu
  • Saibu na shaibu
  • Chua na jua
  • Nje na Je
  • Ama na Hama
  • Bata na Pata
Page 2 / 2