Kama uko na maswali kuhusu mapenzi uko huru kuuliza, pia uko na huru ya kujibu maswali humu ikiwa una jibu.
Unapaswa kufanya nini ikiwa una hisia kwa mtu fulani lakini huna uhaki…
derrick, 1 year ago
Mtu anawezaje kudumisha uhusiano wa kimapenzi?
Ni ishara gani kwamba mtu anakupenda kweli?
Utafanya nini wakati msichana amekukata?
ikrstymy, 1 year ago
Kuna tofauti kati ya kupendwa na kuwa katika upendo? Eleza.
Aisling Beatha, 1 year ago
Umewahi kusikia msemo "Upendo ni mvumilivu"? Je, unafikiri hii ni kwel…
Unajuaje unapompenda mtu?
Unawezaje kujenga ujasiri kabla ya kutongoza msichana unayempenda?
Ni makosa gani ya kawaida ya kuepuka wakati wa kujaribu kukatia dem?
Unawezaje kujua ikiwa msichana anavutiwa nawe mara ya kwanza?