Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Je, umewahi kwenda kwenye tamasha la muziki? Uzoefu wako ulikuwaje?

   RSS

0
Topic starter

Have you ever been to a Swahili music concert? How was your experience?

2 Answers
0

La sijawahi kuwa katika tamasha la swahili. Lakini nimetazam katika runinga na zina changamsha sana na inakaa starehe na raha kuwa mle

0

Ndio, nimehudhuria tamasha la muziki. Kufurahisha zaidi katika mji wa Kilifi. Hafla ile ni mojawapo wa ambazo nimeweka akilini mwangu kwani ilikua ya kukata nashoka. Bila shaka miziki ya Taarabu na nyimbo za waswahili zilipendeza mno

Ningependa kuhudhuria pia