Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mara nyingi tunasikia kuhusu udukuzi wa mtandao (cyber attacks). Unafanya nini ili kulinda data yako mtandaoni?

   RSS

0
Topic starter

We often hear about cyber attacks. What do you do to protect your data online?

1 Answer
0
  • Kuunda password yenye nguvu.
  • Kutumia Wi-Fi ya bure kwa tahadhari.
  • Kujihadharini na links na downloads.
  • Angalia ili kuona kama tovuti ni salama.