Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mitandao ya kijamii (Social media) imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Unadhani kuna njia bora za kuisimamia ili kuepuka athari mbaya?

   RSS

0
Topic starter

Social media has become an important part of our lives. Do you think there are better ways to manage it to avoid negative impacts?

4 Answers
0

Hamisha programu za kijamii kutoka mahali unaziona haraka. Kuziweka mbali na unapoziona kunaweza kupunguza hamu ya kufungua programu hizo mara tu unapoingia kwenye simu yako.

0

Panga nyakati mahususi za kuangalia mitandao ya kijamii au uweke kipima muda ili kujizuia hadi dakika 20-30 kwa wakati mmoja.

0

Kuweka simu yako “don’t disturb or silent”. Ikiwa husikii notification kila unapopokea arifa, huenda usishawishike kuangalia akaunti zako za mitandao ya kijamii.

0

Chukua a break kutoka kwa mitandao ya kijamii au uweke kikomo idadi ya programu unazotumia. Jaribu kushikamana na programu ambazo unatumia zaidi kuwasiliana na watu.