Kinyume cha neno jogoo/ jimbi

Posted by:

|

On:

|

Jogoo au jimbi ni dume la kuku.

Kinyume cha jogoo/ jimbi

Kinyume ni neno, tendo kauli au uamuzi unaopinga mambo yalivyokuwa awali au yanavyotarajiwa kuwa.

Kinyume cha jogoo ni koo.

Koo ni kuku jike.

Mifano katika sentensi

Jogoo alikula nafaka. – Koo alikula nafaka.

Jogoo aliruka juu ya ukuta. – Koo aliruka juu ya ukuta.