Kinyume cha neno kimbia

Posted by:

|

On:

|

Kimbia ni:

Enda mbio, enda kwa kasi.

Jitenga na mtu, kitu au hali fulani.

Visawe vya kimbia ni dabiri, timka.

Kinyume cha kimbia

Kinyume cha kimbi ni tembea, simama, kawia.

Tembea ni enda kwa miguu.

Simam ani kusitisha kuendelea kufanya jambo.

Kawia ni chelewa kufika mahali husika.