Kinyume cha neno kwea

Posted by:

|

On:

|

Kwea ni kwenda kwa kuelekea sehemu ya juu ya kitu kwa mfano mti au mlima.

Mfano: Watalii walikwea mlima Elgon.

Kinyume cha kwea

Kinyume cha kwea ni shuka au teremka.

Shuka ni toka juu ya kitu kwa mfano mti au mlima na enda chini, toka ndani ya gari.

Shuka pia ni pungua kwa thamani au kiwango.

Mfano: Mahindi yameshuka bei.

Teremka ni toka sehemu iliyo juu na kwenda chini.