kunguni

Kunguni in English

Posted by:

|

On:

|

Maana ya kunguni katika Kiswahili

1. Kunguni ni mdudu mdogo anayejificha kwenye kitanda au tandiko na hufyonza damu ya binadamu wakati amelala.

2. Kunguni pia ni mtu anayekula jasho la wengine. (Tafsiri hii katika English ni freeloader, parasite, dependent, reliant)

Kunguni in English

Kunguni in English ni bedbug. Ufafanuzi wa bedbug in English ni:

“a bloodsucking bug which is a parasite of birds and mammals.”

Bedbug in Kiswahili

Bedbug in Kiswahili ni kunguni.