Maana ya neno aheri na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno aheri

Matamshi: /aheri /

Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: pia ahiri

1. hatua ya kuhitimisha jambo au shughuli.

2. maafikiano au mapatano ya mwisho.

Aheri Katika Kiingereza (English translation)

Aheri katika Kiingereza inategemea maana unayokusudia:

Aheri ya hatua ya kuhitimisha jambo ni: end, last stage, finish.

Aheri ya maafikiano au mapatano ni: compromise or final agreement.