Maana ya neno ambo na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno ambo

Matamshi:  /ambɔ/

Wingi wa ambo ni maambo.

Ambo 1

(Nomino katika ngeli ya [li-ya])

1. maradhi yanayosambazika.

2. kitu kinachosambaza au kueneza maradhi au ugonjwa fulani kama vile mdudu au maji.

Ambo 2

(Nomino katika ngeli ya [li-ya])

Maana: aina ya gluu au kitu kinachonata kama gundi.

Ambo Katika Kiingereza (English translation)

Ambo katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Ambo (maradhi yanayosambazika) ni: infectious disease.
  • Ambo (kitu kinachosambaza au kueneza maradhi au ugonjwa fulani) ni: vector – something that spreads or transmits a disease or illness.