Maana ya neno ambulensi na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno ambulensi

Matamshi: /ambulesi/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: pia ambulansi, gari maalum lenye alama wazi inayotambulika la kuchukulia au kubebea wagonjwa kwa haraka kubwa hadi hospitali au kituo cha matibabu.

Ambulensi Katika Kiingereza (English translation)

Ambulensi katika Kiingereza ni: ambulance.