Maana ya neno amkua na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amkua

Matamshi: /amkua/

(Kitenzi elekezi)

Maana: ashiria au mwambia mtu kwa sauti asogee, ajongelee au aje pale mahali ulipo. Kisawe chake ni ita.

Mnyambuliko wake ni: → amkuana, amkulia, amkulika, amkuliwa.

Amkua Katika Kiingereza (English translation)

Amkua katika Kiingereza ni: To beckon, call or summon.