Maana ya neno amofasi na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amofasi

Matamshi: /amɔfasi/

(Kivumishi)

Maana: kitu kisicho na umbo au maumbile maalumu.

Amofasi Katika Kiingereza (English translation)

Amofasi katika Kiingereza ni: Amorphous, shapeless, or formless.