Tag: Kamusi
Maana ya neno adamu na English translation
Maana ya neno adamu (Nomino, ngeli ya [a-]) (dini) mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu.…
Maana ya neno adabu na English translation
Maana ya neno adabu (Nomino, ngeli ya [i-]), heshima; tabia nzuri. Mfano: Yeye hana adabu.…
Maana ya neno adaa na English translation
Maana ya neno adaa (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), ulazima unaompasa mtu kuutenda kwa mujibu…
Maana ya neno ada na English translation
Maana ya neno ada 1. (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), gharama au karo anayolipa mtu…
Maana ya neno achish.a na English translation
Maana ya neno achish.a (Kitenzi <ele>), simamisha shughuli au tendo fulani lisiendelee. Mfano: Mkurugenzi amemwachisha…
Maana ya neno achik.a na English translation
Maana ya neno achik.a (Kitenzi <sie>), pewa talaka, talikiwa. Mfano: Baluli ameachika baada ya kugombana…
Maana ya neno achi.a na English translation
Maana ya neno achi.a (Kitenzi <ele>), samehe deni au haki yako, toa hatiani. Mfano: Mahakama…
Maana ya neno ache! na English translation
Maana ya neno ache! (Kihisishi), neno la kumtakia mtu heri wakati wa sherehe. Mfano: Ache…
Maana ya neno achari na English translation
Maana ya neno achari (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), mchanganyiko wa matunda pamoja na chumvi…
Maana ya neno achan.a na English translation
Maana ya neno achan.a Achan.a 1. (Kitenzi <sie>) tengana na mtu aghalabu mke na mume.…