Tag: mifano ya kiambishi

  • Maana ya kiambishi, aina za viambishi na mifano

    Kiambishi ni silabi inayofungamanishwa na mzizi wa neno ili kuleta maana iliyokusudiwa. Viambishi haviwezi kusimama peke yao, bali lazima viunganishwe na mzizi wa neno. Kwa hivyo, kiambishi ni mofimu tegemezi inayoongeza maana fulani katika neno, kama vile ngeli, wakati, hali, mnyambuliko wa kitendo, n.k. Read more